Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Floors huwa zinaesabiwa ukiwa kwenye jengo lenyewe,kuna majengo mengine kwa picha huwezi ona floors..be exposed dogo!
You are the one who needs to get exposed here. There are certain buildings huwezi count number of floors kwa nje na hata huku Nairobi zipo, with a good example One Africa Place. Ila PPF the floors are clearly visible and easy to count. Unless you just don't want to use one of your senses properly (sense of sight). Mambo mengine hayafai ubishi
 
We kweli kiazi..nakuhurumia sana dogo..!
 
Hizo 34 jumlisha na hizi Tatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


View attachment 1358382


Sent from my iPhone using JamiiForums
Let's assume that what you are saying is true. The question is: how then do you include ground floor as part of your counting? Are ground floors included when counting floors? Utasumbuka sana ila ukweli itabaki pale pale
 
MIRADI INAYOENDELEA HAPA DAR ES SALAAM NA GHARAMA ZAKE IN $$
1.NEW SALENDER BRIDGE $120M
2.BRT PHASE II 20.3KM $150M
3.DAR ES SALAAM METROPOLITAN DEVELOPMENT PROJECT $300M Mradi huu unajenga zaidi ya 200km katika kata 14 ambazo hazijapangwa na maeneo ya katikati ya jiji
4.KIMARA KIBAHA HIGHWAY 8-12 LANES $65M
5.KINYEREZI POWER PLANT II $180M
6.UBUNGO 3LEVEL INTERCHANGE $90M
7.MWENGE-MOROCCO HIGHWAY 8 LANES $45M
8.MBEZI LOUIS BUS TERMINAL $25M
9. PORT OF DAR ES SALAAM EXPANSION $300M


MIRADI YOTE MIKUBWA YENYE THAMANI YA $1.8B

HAPA SIJAZUNGUMZIA MIRADI YA KITAIFA KAMA
1.SGR $3.1B
2.RUFIJI HYDROELECTRIC DAM $2.9B
3.KIGONGO BUSIS CABLE STAYED BRIDGE $300M
4.DODOMA RING ROAD DUAL CARRIAGEWAY 112KM $ 100M
5.MSAKATO INTERNATIONAL AIRPORT $200M


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasahau Mradi wa kujenga barabara kigoma AFDB Walitoa $300M
Miradi Ni mingi kwakweli kuitaja tote hapa siwezi...ARUSHA tu wana Mradi wa $280M wa maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaskia tanzagiza akisema Nairobi inamilikiwa na wazungu na ukiwaambia wataje building hata Moja ya mzungu Nairobi hawawezi.
The Richest man in Kenya ni Mkenya. Tz top 10 ni wahindi tupu.
CBK[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]hii Pia utaskia ni ya mzungu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kuna floor moja juu hawa hesabu, n
 
[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wajinga wa kupindukia. Mwishowe utasikia eti Nairobi ilijengwa na wazungu. Sasa mimi ujiuliza ni nini hiyo walijenga wakati all major buildings and infrastructure in Nairobi were built after independence. Hawa ni vilaza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…