Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahaha sikujua majirani hapa ni washibiki sugu wa liverpool FC baada ya Divock Origi kupost pale Instagram kua yeye ni proud Kenyan, watz wamejazana kusheherekea pia. Sisi hua tunawakubali tu hata mkijifanya kutudharau hapa. Origi ni wetu wote hahaha

 
Matatu culture. .....proudly Kenyan








....
The first SGR trip to Mombasa took place yesterday. ....took 4 hours
n

 
kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.

asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la Kikuyu.

that being said,i present to you a sample of random photos showing private houses owned by common citizen of dar es salaam.
 
hahaa...kadoda umeacha kupost emoji za kucheka na makofi sasa umeingililia nyumba..alafu mbona kama za kilifi na malindi izi
 
Most Nairobians own houses out of the city and upcountry where they have bought land, the way mnafanya Dar sio same na Nairobi, we have very different cultures, lifestyles and upbringings compared to you people, even those who own town houses still majority of them have houses upcountry or other areas. Usijifanye kujua Nairobi na hujui kitu brother.
 
hahaa...kadoda umeacha kupost emoji za kucheka na makofi sasa umeingililia nyumba..alafu mbona kama za kilifi na malindi izi
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
tutajua kuwa mnaumia sana rohoni kuhusu issue ya nyumba.

mmebaki kurusha ngumu hewani kwa kujifariji.

"kisu cha ngariba kimeingia mahala pake".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahahaha wewe nimekuambia hujui the Nairobi life, nyi bado mnaishi bila mpangilio, so huwezi elewa.
 
hahahaha wewe nimekuambia hujui the Nairobi life, nyi bado mnaishi bila mpangilio, so huwezi elewa.
povu hilo....nimeishi huko kwenyu kenya kwa miaka kadhaa.

naijua kenya kuanzia mijini na mashinani na ndio maana ninapo elezea jambo kuhusu kenya,nalielezea kwa kujiamini.

huna la kuniambia kuhusu kenya my friend.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…