Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JF Imevamiwa na Mikenya Vilaza sijapata kuona
Hilo Jengo limewafanya wapate Kiungulia hahahaha
Ukiona hivyo ujue Roho inawauma vibaya
 
I don't care whatever you think about me and you can fu-ck yourself if you like.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unataka matusi mbona ulimkwepa wlker? i cannot tolerate matusi naweza pasuapasua hata hii laptop (kama tuko face to face nakubamiza ndani ya dk sifuri), so usitegemee kuwa ntaendeleza league yako. kama unapenda sana matusi well, you know who you can engage although you wouldn't dare. By the way napenda kuwatch watu wakitukanana
 
achana nae.. siku nitaenda kujaza mafuta hapo .. na kupiga picha.. lkn ni ajabu sana mtu yupo kenya anabishana na mtu aliyepo Dar [emoji23][emoji23]
Nyinyi mnapobisha vitu za Nairobi huwa mko huku? Tumbafu! 😂 😂
 
Mzee wa punctuation na hapa unazidi kuboronga tu..
 
Leo ndio nimejua Tanzanians can't reason even for a second. Sawa ndugu tuambie, floors zinahesabiwa aje?
Floors huwa zinaesabiwa ukiwa kwenye jengo lenyewe,kuna majengo mengine kwa picha huwezi ona floors..be exposed dogo!
 
It's stupid how you reason and it's even more stupid how your fellow morons are cheering you up. Nyinyi mnapobisha vitu kutoka Nairobi huwa mnakuwaga Nairobi? Ni juzi Ichoboy alisema GTC has only two towers above 30 floors. Yeye anaishi Nairobi? Peleka ujinga tandale na si tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…