Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtaiwezea wp Tz nyie, hii nchi kubwa pato lake pia ni kubwa sana sema waliopita hawakuitendea haki ipasavyo nchi hii ndo mana mpk vinchi vdg vdg km kenya vikawa vinatamba mbele yetu, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji382][emoji382] hyo apo, hope that wageni wengi mtaacha kupeleka makalio yenu china na ulaya mtakuja Tz, mana hata mkitaka urubani full package ipo NIT mpk ndege za mazoezi zpo, karibuni sana [emoji3][emoji3][emoji3]
 
They call Tanga a city , but Tanga is a joke.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujagusa sekta ya afya, maji, Mahakama, vivuko baharini nk [emoji3][emoji3][emoji3] acha tu mzee
 
U r among the dumbiest zombie to think that Tanzanians can't afford apartments, N u were the one hu said something abt exposure...those apartments are nothing to brag abt

Sent using Jamii Forums mobile app
It's something to brag about coz it's something you don't and can't afford to have. All you can afford are squalors that are christened dream houses aka uswazi
 
37 floors 😂 😂 😂 😂
Estim 😂 😂 😂 😂
Hawa Estim wanaweza Danganya danganyikans sana hadi washikwe na goosebumps 😂 😂 😂
 
Sio mm niliongeza zimejengwa na mjengaji anaejua zaidi kuliko mm na wewe ww endelea kuhesabu upuuzi 🤣🤣🤣🤣🤣
So mjengaji akisema ni ghorofa hamsini ila wewe unaona 20 utakubaliana tu na mjengaji na uwache uwezo wako wa kuona na kufikiria? Inamaana umewacha uwezo wako wa kuona kwa mjengaji!?? What a stupid argument!!
 
So mjengaji akisema ni ghorofa hamsini ila wewe unaona 20 utakubaliana tu na mjengaji na uwache uwezo wako wa kuona na kufikiria? Inamaana umewacha uwezo wako wa kuona kwa mjengaji!?? What a stupid argument!!
Umeonaje kwa kuhesabu upuuzi hvo ndivo munahesabu floors yani can u count floors through pic ambayo haionesh full ndivo munajidanganya humu 🤣🤣🤣🤣 mara apate 35 mara 37 hehehe
 
37 floors 😂 😂 😂 😂
Estim 😂 😂 😂 😂
Hawa Estim wanaweza Danganya danganyikans sana hadi washikwe na goosebumps 😂 😂 😂 View attachment 1357893
Ndio hua munahesabu hvo floors yangu aliejenga hajui idadi wewe ndio unajua kwa kuhesabu hvo hahahahah🤣🤣🤣🤣🤣🤣 munajitia ujinga hapa
 
Ndio hua munahesabu hvo floors yangu aliejenga hajui idadi wewe ndio unajua kwa kuhesabu hvo hahahahah🤣🤣🤣🤣🤣🤣 munajitia ujinga hapa
Wewe hesabu tuone. Mbona unatupigia kelele?
 
Wewe hesabu tuone. Mbona unatupigia kelele?
How do u count wewe umeona jengo lote hapo so kwann alisema TPA 35 na akapat 37 inamaana aliejenga kasema 40 yuko sahihi sawa 🤣🤣 yani mm siku nikipata nafas ntaenda pale tuingie kwenye lift kuhesabu moja baada ya moja
Yani aliejenga awe hana akili kuliko ww kilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…