Tusubiri tu dawa iko inachemka nakwambia over 30 ni mbili ila subiri uone dawa itakavyo waingia humu ndaniπππππ na haya maneno utayaamini tulia tuEti over 30 ni two buildings? π π π
Just yesterday ulikuwa unasema over 30 ni buildings nne sasa leo zimekuwa mbili!??? π
Wewe unafaa tu kupuuzwa
Sijui hilo but inawezekana aliwadanganya. Nionyeshe hizo 37 floors ziko wapi hapaKwa maana hiyo aliejenga katudanganya sio? au kaota?
Kenyatta alikua anachezea machungwa shuleniππππππ
CC: Teargass n KafricanNajua hujui, Now you know. This is from Official Estim Construction Website, The Company which built the tower .
View attachment 1353459
View attachment 1353460
View attachment 1353461
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ichoboy, you don't have to be a fool all the time. Saa zingine it's good to just keep quiet and observe things. Hiyo ni Kenya gani ulienda ambayo Nairobi-Nakuru highway is already under construction na ishafika hiyo level already? Construction of Nairobi-Nakuru was slated to commence last year December (2019). So within one month unataka kutuambia the contractor has managed to clear the site, clear debris, hadi ashaweka lami in some sections?? Is that how you do it down there?Hvi ww unanidanganya mm hii ni njia nakuru highway nilipita mm hapo hakuna mtazamo wowote wa BRT dont make people humu ndani kwamba ni fools umeskia usinidanganye mm ntakuaibisha wewe leta sign board yoyote ikionesha ujenzi wa BRT hapo na ukipata mm nafunga account jamii forumππππ
Ndugu utaumiza Akili yako kwa VilazaInformation given after the project was completed, so they donβt have the same case like the projects you mentioned .
Key word: DESIGN AND BUILD PACKAGE .
View attachment 1353546
View attachment 1353547
Sent from my iPhone using JamiiForums
Never ever BRT my friend πππππIchoboy, you don't have to be a fool all the time. Saa zingine it's good to just keep quiet and observe things. Hiyo ni Kenya gani ulienda ambayo Nairobi-Nakuru highway is already under construction na ishafika hiyo level already? Construction of Nairobi-Nakuru was slated to commence last year December (2019). So within one month unataka kutuambia the contractor has managed to clear the site, clear debris, hadi ashaweka lami in some sections?? Is that how you do it down there?
Ulikuwa Kenya December and it's the same time construction was slated to start. Sasa hiyo yenye uliona ikijengwa ni gani? I know you used Waiyaki Way (where brt construction is going on) from Nakuru ukiingia Nairobi so labda ulifikiri bado uko Nairobi-Nakuru highway. No, that area you saw road construction going on is Waiyaki Way and it's within Nairobi. I know this is a battle but that doesn't mean it should make you a fool. Soma hizi links
GTC over 30 ni two buildings so washajua kua wamepata kipigo kitakatifu na ushahidi mm ninao ila nasubiri wamalize kuweka vioo ili nitoe kile kinywele cha kwenye kende niache kipele kikiwashaπ€£π€£π€£π€£
Hiyo Nairobi-Nakuru highway uliona ikijengwa ni gani?Never ever BRT my friend πππππ
Leta signboard ikionesha ujenzi wa BRT kwa hio barabara kama hakuna kaa kimya nitakuaibisha
Rahisihsa kazi niletee signboard ya BRT yoyote inayojengwa Kenya nzima ukipata nitagHiyo Nairobi-Nakuru highway uliona ikijengwa ni gani?
Yani we ni fala sana ..kwahyo ESTIm waliojenga tusiwaamini tukuamini..wewe na wikipedia source zako shenzi..wakenya mnavitabia vya ajabu ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Badala ya kutumia lugha ya matusi si utusaidie kuhesabu 37 floors hapa π π π πEti kinywele cha kwenye Kende π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe pia rahisisha Kazi. Niambie hiyo ni Nairobi-Nakuru highway gani ambayo ilikuwa under construction in December wakati ulipita hapo?Rahisihsa kazi niletee signboard ya BRT yoyote inayojengwa Kenya nzima ukipata nitag