Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unafikiri picha ya shinyanga ni moja Bro? Ukileta pande ile nzuri nami nakuletea ile hutaki kuweka. Weka hata nzuri ya Dar nikuletee ile pande mbovu ya Dar 😁
Vivyo hivyo kwa nairobi pia,hata america kuna pande nzuri na pande mbaya pia zipo..
 
Hiyo stone age infrastructure haipatikana haipatikani mahali popote Tanzania apart from Dar 😂 😂
Wazee wa kupanga tofali huku na huku kisha flyover tayari...No pillars at all😂😂😂😂
Look, we're cooking this for you👇👇👇
 

Attachments

  • 2280084_IMG_20200122_143016.jpg
    99.6 KB · Views: 21
Ndio maana tunawaambia hapa kila siku kwamba you should compare that fishing village with Mombasa. They have a lot in common. Nairobi is far much ahead of it
Say nairobi can't compete against dar..kwa sababu dar ina vitu vya ziada ambavyo nairobi haina...fact!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…