Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angaika tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uheheheh waoga wakuzoom wanafkiri mzungu na technology yake hakuona slums waje waone wao yani shida yao tufanane ushuzi kisa wao ni ushuzi
View attachment 1352627View attachment 1352628View attachment 1352630View attachment 1352631
 
Majority wako kibera and not thereπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜πŸ˜
It's so hard to deal with a conditioned mind, especially one that can't even reason. Kibera is 2.5 square kilometres. Now tell me how 2.5 million people can fit in such a small area. That's a population density of one million people per square kilometre. Do you even have a brain left in that skull?
 
Yaani kama kawaida Maboksi ya kuhifadhia vile vifaranga vya nyama.
Maisha ya dream houses hatuna kaka. Mbona unataka tufanane? Wewe endelea na maisha yako ya uchochole ya kuishi kwenye squolar that you proudly call a dream house. Inakasirisha ila ndio hivyo basi
 
Huna Google earth wewe 😁😁😁😁
The burden of proof lies with you not me. Ulisema Tunachagua sehemu nzuri za Ruai ndio tunaleta. So wewe tuletee screen shot ya hizo sehemu mbaya Ruai ambazo hatutaki kuleta. You said Ruai is a slum. Now prove your claim
 
aawaopi hii maneno ya kutoa excell ya sonko pelekea mamako! naamini data za credible institutions like UN Habitat!
Hebu leta hiyo leta source ya UN habitat inayosema kibera has 2.5 million people
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…