Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kibera wanaishi watu million mbili na laki tano bro 60% ya wakazi wa Nairobi wapo kibera

 
Mimi binafsi napenda ikulu zote Dar na Dodoma ziwe active maana Dar bado ni ya kimataifa na mabalozi wapo hapo
 
One pic kilimani upper hill na CBD ndani😁😁😁
CBD naona mtindo ni Chipsi mayai Tena nje ya Zile towers zenu mbili.


Hapa naona lami iko kwa highway huko kwingine kwa wananchi ni vumbi na matope
 
CBD naona mtindo ni Chipsi mayai Tena nje ya Zile towers zenu mbili.
View attachment 1352599View attachment 1352600

Hapa naona lami iko kwa highway huko kwingine kwa wananchi ni vumbi na matope
View attachment 1352601
 
Idadi ndogo sana ukilinganisha na 6million slum dwelling population of Dar ea sluum City slum.
 
Kule kwao hamna mitaa kama hii ndio maana huwa hawapost πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ zaidi ya zile unfinished buildings au Yale Maboksi ya kuhifadhia vile vifaranga vya nyama (estate)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…