Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yah hatunaga mchezo mchezo kuwaendekeza wazungu wa unga, nchi iliharibika mno kwa hyo biashara so, namuunga mkono my president kwa hilo.
 
Hivi Wewe ni Chizi au kichaa?, Magufuli anasema hawezi kuwatetea wauza madawa ya kulevya walioshikwa na kuhukumiwa nje ya nchi, Kenya inakataa kuwasaidia wanafunzi walioko China, kweli unaweza kulinganisha haya mambo mawili?, unataka Magufuli awatetee wafanyabiashara wa madawa ya kulevya?
 
Kama ingekuwa kweli hiki unachokisema ww basi sidhani kama kenya ingetoka kwenye group la ldc cz inakabiliwa na insufficiency everywhere (tena ni insufficiency za ki ldc) kuliko ata Tz, and that was my concern. [emoji116][emoji116] unaizungumziaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…