Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vitu kama hivi mungiki wataishia kuviona kwenye tv tu
Screenshot_20200208-172358_Instagram.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Buru... Built in the 70s but still standing out. Hii mambo ya mipango miji hatukuanza jana wala leo
Miji yote iliyojengwa na wakoloni ilifuata mipango miji, ata uku Tz miaka hyo ya 70s even individual houses zilifuata sera ya mipango miji but mambo yakaanza kuharibika baada ya udhaifu uliojitokeza kwny serikali zilizofuata baada ya Nyerere (RIP) lkn kwa ss mambo yanaenda vzr tutabomoa makazi yote yaliyokaa vby
 
Back
Top Bottom