Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 

Sasa MTU kula tu shida
Ataweza kujenga!!
Dar nikubwa sana
Na ukubwa huu ni watu binfsi tena wakawaida kumiliki nyumba zao
Nairobi nyumba nyingi zinamilikiwa na Wanasiasa mafisadi hasa Kikuyu hili ni janga Kenya!!
Kupata Ardhi Utaimba
Utaishia Kibera Vinyumba vya Kuzimu hata Mwenyezi mungu kavilaani kwa uchafu
 

Hahaha Kama una Rafiki Kenya tua Nairobi
Hahaha story zote mtamalizia Hotelini
Huta msikia anakuambia twende Ukapaone Nyumbani!

Mtaani full suti ikifika jioni
Anakuwa Nguruwe wa kibera!
 
punguza povu...hayo ni maneno ya mkoasaji.embu rudia tena kutazama hizi picha hapa chini uzidi kutoa povu la kisirani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona safari hii mumeshika makende huku kisu cha ngariba kimegusa panapostahiki...hongereni
 
ndyo muonyeshe huo umiddle income sasa.....tunazihiitaji houses bro unaongea sana kama mwanahawa
 
Niliwahi kumwambia mkenya mmoja Mombassa
Mtanzania Anamaisha bora kuliko ninyi
Nimepita vijiji vingi kenya kiukweli wana danganywa wapo juu hakuna lolote
Uchumi umeshikwa na Wanasiasa mafisadi
Mkenya wakawaida ni funza tupu
 
Itakuwa na ww unaishi kwenye dormitory ,Tanzania heshima ya mwanaume kujenga nyumba yake binafsi sio kupanga kwenye dormitory kama izo za Nairobi apo itakuwa kwa Tanzania unaji abisha uanaume wako
waambie hao .....kuanzia bibi yeye mpaka vitukuu wote wakikenya hakuna aliyemiliki nyumba....na bado ukoo wao unakua wanazidiwa hadi nawalio vijijini hafu wanakuja vifua mbele nairobi nairobi nyumba zenu zipo wapi
 
Niliwahi kumwambia mkenya mmoja Mombassa
Mtanzania Anamaisha bora kuliko ninyi
Nimepita vijiji vingi kenya kiukweli wana danganywa wapo juu hakuna lolote
Uchumi umeshikwa na Wanasiasa mafisadi
Mkenya wakawaida ni funza tupu
ukweli kabisa sasa enda ulale ukifurahia na ukiamini ivo...hongera
 
kenyans i have already changed the momentum of the thread,instead of reposting photos of beautiful
apartments,story buildings, highways, flyovers,malls etc,it's now a high time we show our viewers and readers private houses owned by common citizens in dar and nairobi.

show us sample photos of private houses owned by common nairobians in nairobi,i insist "IN NAIROBI". not ushagoo kwenyu or mashinani.[emoji122] [emoji23] [emoji23]
 
Itakuwa na ww unaishi kwenye dormitory ,Tanzania heshima ya mwanaume kujenga nyumba yake binafsi sio kupanga kwenye dormitory kama izo za Nairobi apo itakuwa kwa Tanzania unaji abisha uanaume wako
nonsense. .....hata flats na apartments hujui ni nini
 
Boss leta nyumba zinazomilikiwa na Wakazi wa kawaida wa Nairobi,
Forget hostels.
kweli walete hao......maana wanakuja vifua wazi tunawapiga za chembe wakiinama bakati za kidevu.........wakenya chalii
 
kabisa...hao watu walitu rank ivo walikuwa wajinga, they didn't have that in mind,they just woke up and said lets say kenya is a middle income economy
Hehehe. I like how you are handling them.In Kenya we just work hard and play hard.....tukishawalemea wanakuanga personal kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…