Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jana kaleta nyumba za msonge za wamasai halafu anatuandikia humu eti kaziona mwanza naona hiyo comment kaifuta baada ya kuulizwa hivi..
😂 😂 😂
Unafahamu ni makabila yapi huwa yana tamaduni za kujenga hizi nyumba za msonge?
Kila siku tunawaambia humu Punguzeni kukurupuka wala hamsikii 😂😂😂
 
Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona wakitapika hivyo hawana jibu.....hawaezi confess how planned and developed Nairobi is so wanapost wakitumia matako
Uko serious? investors sio waKenya? wenye kuishi hapo sio waKenya? mtaruka ruka lakini ukweli waonekana. What the hell is development then? naona next mkisema tutoe Upperhill kwa list juu imekaribia Kajiado juu wengine walisema Two Rivers iko Kiambu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…