Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The question is how many Kenyans own estates? nazungumzia tu for those who are in Nairobi. That's why ratio kubwa ya wakenya iko kwenye slums, they have no ability to buy a portion of land na kujenga nyumba
Si ati hawana pesa, wamekimbia kwenye urban centers bila mpango na huko bei ya shamba si shillingi mbili. Wengi wana mashamba makubwa kwao. Rural Kenya you can get land for as low as 100k in secure regions and start a small agricultural venture. Lakini wengi wanaona pesa zinamwagwa kama maji Nairobi.
 
The number of middle class and rich in Mombasa is close to that of Dar. You ought to know the infrastructure and housing that accompanies such. Sitashughulika kukutaftia hizo suburbs. Just think.
Millionaires na data zenu za kupika jikoni hvi unaona hapa watu wajinga sana 😁😁😁😁


 
Akili kichwaniπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 1346917
wewe jamaa tumia akili na utembee uone mambo yanavyofanywa. This is a free market, willing buyer, willing seller. You can see vast open spaces. The people who buy those highlighted houses I can bet that they can comfortably buy land in that area and build.
 
I tell you this ichoboy is the most stupid thing i have ever seen......hajui biashara ya houses vile imeshika Kenya. Infact most diasporans opt for ready made houses
Sent using Jamii Forums mobile app
 
I tell you this ichoboy is the most stupid thing i have ever seen......hajui biashara ya houses vile imeshika Kenya. Infact most diasporans opt for ready made houses

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu ulisahau world bankπŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡

HOME β€Ί ...
World Bank values Dar's real estate $3b more than Nairobi - The East African
 
Twin sister wake Dar na wanamkataa. Hawaoni hata difference ni tower tatu pekee. The rest wako sako kwa bako
With full slums maana kuna slum Mombasa zinaitwa majina ya nchi eti Bangladesh slum😁😁😁😁😁😁😁

Tafuta suburb kama hii Mombasa ukipata nitag tuendelee

Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…