Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

shida serikali ya magu ina allergy na uwekezaji wa majengo,hii miradi ya nhc,nssf etc imesimama toka anaingia na haieleweki lini itaanza tena,nssf wametangaza kupiga mnada huku wabunge wakilia lia bungeni serikali itoe pesa kwa nhc wamalizie miradi
Wangekamilisha hii miradi ingetoa sura nzuri ya jiji
 
Unajua sababu kubwa ni nn mikataba mibovu ilikua na faida kwa nchi mradi wa billion 10 mtu anaandika billion 25 alaf unataka waachiwe
 
Tatizo ilifika mahali wastaafu walikuwa hawapati mafao kwa hiyo new audit ilihitajika kuona wapi magumashi yalifanyika kwenye mikataba!
 
Mdogo mdogo πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Waangalie uwezekano wa kuingia Eastern DRC! Kuna biashara ya kutosha na itaongezeka pindi miradi ya miundombinu ya reli na meli inakamilika pia Air Tanzania itaanza kuruka kwenda Lubumbashi na Kinshasa karibuni.
 
Huyo chizi achana naye..anajifanuya anajua vitu kumbe kichwani empty
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wtf domestic flights?
Wakenya ninyi ni washamba deep in the blood veins, washamba xd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…