babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,444
- 36,077
Nimekumbuka msemaji mkuu alivyo kuwa anazungumzia aina ya vichwa na mabehewa ya treni waliyo yaagiza alisema "Kuna nchi yamewakuta" 😂😂😂 treni zao ni mafuta mazito tu.Hahahhaha yani wamekosa raha mm nakwambia huu mwaka ekeni maneno yangu kama akiba mama mutawaona humu mutakuja nambia🤣🤣🤣🤣
Ni kama ushasahau what you posted, let me revisit it for you.[emoji23][emoji23]Tulia buda ur the one posted 1300 nikakukanyaga na bado nitakukanyaga tena unawasiwasi sana na tanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ichoboy this what you said, usijifanye umesahau[emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania has 1800MW ryt now
Hapo subiri JNHEP 2100MW
Kinyerezi three 400MW
Mtwara has plant 600MW
Rusumo HEP 80MW
Etc hebu tuambie hapo munatokaje nyinyi[emoji3][emoji3][emoji3]
Nimekwambia nitakuketea kwa muda wangu sio ww kunipangia muda au nn cha kufanya kama nimeeza kukunyaga kua sio 1300 na nitakukanyaga tena kama kawaida 🤣🤣🤣🤣🤣Ni kama ushasahau what you posted, let me revisit it for you.[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Mtanzania mwenzetu na tunamkubali na kumtakia mafanikio zaidi,Kusherehekea mtu kucheza aston villa....kweli mko nyuma bana.Ile victor wanyama street bado iko....[emoji38]View attachment 1340255
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwambia nitakuketea kwa muda wangu sio ww kunipangia muda au nn cha kufanya kama nimeeza kukunyaga kua sio 1300 na nitakukanyaga tena kama kawaida [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
And this is wat u posted tena mjinga mwenzio aka like kabisa🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇@Ichoboy this what you said, usijifanye umesahau[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan 1600+ nani kakuletea humu ndani sio wewe ulieleta hii🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇Just accept that haiko and move on Icho, nobody will came you my friend. Even your padlock won't kidnap you for spending the truth.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani wana wivu wakipuuzi sana hawa hua miaka nenda miaka rudi hawaitakii mema Tanzania u can't imagine wanaombea hvo maisha yao🤣🤣🤣 lakini kwabahat mbaya wamekutana na chuma safari hiiNi Mtanzania mwenzetu na tunamkubali na kumtakia mafanikio zaidi,
Timu anayochezea ikicheza tutajumuika pamoja kumtazama Mtanzani mwenzenu,
Michezo huleta watu pamoja,
Michezo huleta upendo,
Nyie endeleeni kubaguana na kudumisha ukabila wa kuchukiana.
Inachekesha sana pale mtu ambaye station yao wanaingia ndani halafu wanapanda juu halafu wanashuka chini tena kupanda treni anakuja hapa kujifanya expert wa majengo ambayo yamejengwa kwa PURPOSE na sio show. SGR station ya Dar kwanza ni kubwa kuliko ya nairobi, pili ina escalators, lifts na stairs ku-accomodate watumiaji wa aina zote. Tatu iko mjini kati kwa hiyo ni rahisi kumove around. Nne itakuja kuunganishwa na BRT system. Tano inasupport both MGR na SGR trains. Sita imeinclude businesses ili iwe sehemu ambayo watu wanaingia na kutoka kila wakati. Kiufupi hii station ni LANDMARK. Wakenya mpo?
You know nothing, your stations are one of the ugliest in the continent. Nairobi station is wider than your cowshed and in terms of height they are the same. You can continue with your daily insults.Inachekesha sana pale mtu ambaye station yao wanaingia ndani halafu wanapanda juu halafu wanashuka chini tena kupanda treni anakuja hapa kujifanya expert wa majengo ambayo yamejengwa kwa PURPOSE na sio show. SGR station ya Dar kwanza ni kubwa kuliko ya nairobi, pili ina escalators, lifts na stairs ku-accomodate watumiaji wa aina zote. Tatu iko mjini kati kwa hiyo ni rahisi kumove around. Nne itakuja kuunganishwa na BRT system. Tano inasupport both MGR na SGR trains. Sita imeinclude businesses ili iwe sehemu ambayo watu wanaingia na kutoka kila wakati. Kiufupi hii station ni LANDMARK. Wakenya mpo?
Tegemea povu litakuishia hapa SGR itakua first floor hebu imagine hakuna kuteremka ngazi 🤣🤣👇👇Just classic [emoji108][emoji108]View attachment 1340261View attachment 1340262View attachment 1340263View attachment 1340264View attachment 1340265
Sent using Jamii Forums mobile app
Now show me your 1800MW.And this is wat u posted tena mjinga mwenzio aka like kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1340259
Kwani nilikuomba hiyo 1600?Kwan 1600+ nani kakuletea humu ndani sio wewe ulieleta hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1340260
Unangoja CCM ipike evidence ndio ulete hapa?? Useless danganyikansNakwambia mm nitakuletea evidence kama nilivokiletea 1600+ hehehe tulia sasa🤣🤣🤣 na 2100MW inakungoja hydro electric dam
Na hapo kua SGR Itakua 1st floor na MGR itakua ground floor so watu wa SGR watapanda treni huko huko juu hakuna kushuka chini😀😀😀Inachekesha sana pale mtu ambaye station yao wanaingia ndani halafu wanapanda juu halafu wanashuka chini tena kupanda treni anakuja hapa kujifanya expert wa majengo ambayo yamejengwa kwa PURPOSE na sio show. SGR station ya Dar kwanza ni kubwa kuliko ya nairobi, pili ina escalators, lifts na stairs ku-accomodate watumiaji wa aina zote. Tatu iko mjini kati kwa hiyo ni rahisi kumove around. Nne itakuja kuunganishwa na BRT system. Tano inasupport both MGR na SGR trains. Sita imeinclude businesses ili iwe sehemu ambayo watu wanaingia na kutoka kila wakati. Kiufupi hii station ni LANDMARK. Wakenya mpo?