Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani hio story haiishi ?, wakenya ni kusifu Nairobi tuu utadhani majumba yale in yao. In nyumba za wasomali na wasouth sudan. Mkenya yupi hapo kazi kusifu visivyo vyao
man,hahaaa...go hug a transfomer in the streets of kariakor and never let it go,,
 
Nijibu saedeque iko which city tafadhali πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
nmekwambia rachuonyo..mara ya tatu nakujibu.hujui kusoma leo au yamekufikia ya shingo...hehee
 
Kwani hio story haiishi ?, wakenya ni kusifu Nairobi tuu utadhani majumba yale in yao. In nyumba za wasomali na wasouth sudan. Mkenya yupi hapo kazi kusifu visivyo vyao
Umewashwa sana hapo na wivu mob
 
hahaaa..compare and contrast ./.
the best school in bongo

a school in kenya
Hahahhaha patamu hapo Leo sio Tanzania ileeee..unajifanya kuandika a best school in bongo vs school in Kenya.....hahhaha ujanja wakizamani
Hii ndio Tanzania mpya wenye kuangalia watasemaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna yenye inafanana na golden elites academy ya kisumu. ...I just want to see unique schools in Tanzania like Kenya High. ...or even strathmore school.
 
hahaaa....msee kwa shule mko down mbaya.tafuta kitu kingine
Akili ushapata nafkiri na mm nataka ufute ile kitu ya 90s kwenye kichwa chako....shule za Nairobi zimezidiwa mpaka umeanza kuleta shule za nje ya Nairobi hahahhaahha bongo hiii
 
Anyone with photos za peponi school...?Naonanga tu sign post na barabara to the school
 
Kwakwakwa ameeka 10 zikwapi???????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kaeka mbili kakimbia rudi page za nyuma usijitie umesahau
you are insane..umeekewa kenya high,alliance boys,alliance girls,sunshine,starehe...ukaekewa ma international schhols.kajipange uje tena
 
Who remembers zain Africa challenge ya African universities vile university za Tanzania zilikuwa zikinyoroshwa. ...Hehehe. I think University of Ibadan won in the first season then Egerton University took it in the second season.
 
you are insane..umeekewa kenya high,alliance boys,alliance girls,sunshine,starehe...ukaekewa ma international schhols.kajipange uje tena
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kaniekea international school mbili na mabanda ya kuku mawili alaf hakurudi tena tuendeleaa basi maneno mengi ya nnπŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…