Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanini mnaweka picha zilizochukuliwa toka mbali sana, mbaficha nini?, wekeni picha zinazoonyesha hali ya barabara, NYUMBA na mazingira yanayozunguka, sasa hii picha unataka tuone "iron sheet" pekee, lengo ni kitu gani?, au ndio kutapatapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hutaki kuona hizo iron sheets? Ama hiyo ndio Dar ya 90s? 😂 Si ushabik but huwezi pata sehemu inafanana hivyo Nairobi outside slum areas
 
Honestly? "Ferry wheel" LMFAO. Kiingereza kinabaki kuwa taabu pale pale.
 
Kijitonyama[emoji95][emoji378][emoji102]
IMG_2314.jpeg
IMG_7836.jpeg
DtT-1a8X4AA9Ddk+%281%29+-+Copy.jpeg
DrQc1j9WsAAExth.jpeg
Di2gJlNXsAEE2dq.jpeg
1565464858998.png
1566245396073.png


Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni mjinga kweli kweli. Ulisema hiyo ya Zanzibar ni kubwa kuliko ya Two Rivers, why are you shifting again? Sijaiona mzee mwenye Hana akili kama wewe[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
wapi nimesema kubwa leta evidence! Nimesema the first ferris wheel in East and central Africa!

Na hii vp?

 
and these? Teargass



first and biggest ferries in Eas and central Africa! While Zan fast ferries wanaleta ya pili, Azam marine wanaleta ya tatu

 
Back
Top Bottom