Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unasahau Kenya hawajawaishindwa kulipa deni kama Tanzania?[emoji23][emoji23][emoji23]Sisi hatuezishindwa kulipa deni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana mpaka leo hawajalipa😀😀😀😀 na bado hazijawa za kq bado ni za owner mpaka mulipe na hamutawah lipa mark my words mbona sharia ya loan inajulikana duniani
 
Jifunze kueka punctuations in your writing. Writing and talking are two different entities.

Sent using Jamii Forums mobile app
Listen bro unajua ww unaujinga sana kichwani kq ina miaka mingap in service, yani leo mpaka 2020 mumelipia ndege 3 huoni hilo deni ni la moto sana😀😀😀😀 kwann tu usikubaliane na ukweli kwamba kq inamiliki ndege tatu fully owned Kwan tatizo liko wap
 
ATCL inachapa routes za ndani kama nganya na mnamake losses like no ones business.[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi yetu inajitosheleza kwa soko la ndani linatosha kabisa bila kutegemea la nje Hakuna biashara utafny Tz upate hasara waulize fastjet baada ya kusema wanaendesha kampuni kwa hasara tukawastukia
[emoji116][emoji116]
 
KQ and ATCL started at the same time. KQ right now has a total of 41 fleet, 20 owned and 21 leased. KQ has a total of 55 International destination while ATCL has 5[emoji23][emoji23][emoji23]. KQ own Jambo jet with 11 planes and also have 50% shares in precision airline. What do ATCL have?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wako na ndege tano......na zinashikwa kila mara juu ya deni.....moja tu ndio inatoka nje ya ldc tanganyika huko
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnyama atazid kuwapa sleepless af nnachozipendea hz ndege za Air Tz ni kwmb ni za kisasa kabsa ikipita juu ya paa lako km upo ndani huwezi sikia kelele zozote mpk uambiwe ngj ipite kq ss bwana bwana bwana unaeza hisi kuna mashine ya kusaga kokoto ipo barazani kwako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

The wings of Kilimanjaro [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…