Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Watu wengi wanashindwa kuelewa kwanini UDOM ni chuo kikubwa, see the area this means can be upgraded easily


Sent from Gnet Phone using JamiiForums
 
Just to let you know... Those beggars are your brothers and sisters from Tanzania. Come for them please
 
First, can you name those 40 slums? Second, do you know that hizo slums zikiletwa huko kwenyu zinakuwa one of your best houses?

Sent using Jamii Forums mobile app
Some of the places they list as slums ni Ruaka, Githurai, Riruta, Ruai, Kayole and many other such places. Below is Ruai for instance. Kama Ruai below is a slum, what will we call Tandale?
RUAI

And then this is Riruta, another one they call a slum!


So the above places are slums in Nairobi according to Tanzanians. But this one here below is a middle income estate in Dar! Some standards are way too low!
 
Lol hata huko YouTube stupid tanzanians wanapewa dose kweli kweli.........hakuna mtu mkenya amedharau kama mtanzania lolView attachment 1331351View attachment 1331353

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ hawa ndugu zetu hawafai kubebembelezwa hataa. Ni uchokozi tu wako nayo kwenye social media ilhali mji unategemea fishing, port na tourism tu. Masomo wako nyumba. Idadi kubwa ya wananchi bado ni illiterate. Wanajua tu kutumia internet kueneza udaku. Dar nikama somewhere in Eastlands juu huko ndiko kuna ICD with the exception of three towers. That ubungo interchange hata outer-ring na the shoddy work ilifanyika huko tunashangaa wata ifikia lini. Anyway, wacha wajibambe
 
watu hata unga hawawezi ku-afford sasa ndo waweze ku-shop kwa those malls?
umewai kanyaga hii nchi shenzi? ama ni tweets unasoma? umewai fanya kazi ya busara hapa? unajua opportunities zilizopo Kenya ama ulikaa na vijana wa mogoka wakakuambia mambo magumu? kama huezi jikakamua Kenya shauri yako. Hapa hakuna ujamaa. Ask your Tanzanian brothers how they're making it in kenya kabla kuja kuonyesha ujinga hapa. I have friends from Tanzania and they know hapa mambo ni diligence si kungoja serikali ya awamu ya tano ama kumi
 
LOL do you know why 60% of Nairobi or Kenya dwelling in slums? Sababu mnaishi kwenye the smallest congested area au hujui maana ya slums?

Yaani ninyi sehemu ya kuishi watu 10 mnaishi watu 200 lol so how comes you are geographically extended? Mind you, Dar is three times bigger than Nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…