Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Kuna nyani analeta story za metropolis,wakati nairobi yenyewe imejaa miti tu na vichaka lukuki.. wanajaribu kuongeza population ili ionekane kama nairobi ina population kuzidi dar🤣🤣🤣🤣😂😂😆😆
Hakika wakenya ni comedians
Hakika wakenya ni comedians



