Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
Basi za BRT hamjatengeneza nyie! Fool mbona mmeshindwa kutengeneza zenu mkaenda South Africa?Mngeanza na zile mabasi zenu za brt tulizowatengenezea. Kama akili ya kutengeneza basi ndio huna, ya kutengeneza train utatoa wapi?