Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahyo hii ndio best road kwa Mombasa ....
Hasa hata Arusha anakidude jam hiki from Tengeru to Sakina tena chaukweli tu

Sent using Jamii Forums mobile app
arusha will become one of greatest cities EA japo watu hawaitili maanani nilitembelea mwaka jana 10+ floor buildings zinajengwa kila kona nazani sa hv papu watajenga 20 floor building kingine arusha kuna estate dealers wa viwanja kila mahali yani makazi holela yaliyopo arusha ndio hayohayo hayaongezeki maana watu wananua kwa estate dealers ivo viwanja vimepangika its a matter of time arusha itakua ya kipekee na dodoma EA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Because it's near Nairobi it has decided to adopt Nairobi style apartments.uzuri wa kukaribia better countries like Kenya ndio hiyo........
In Kenya real estate is booming in every city....go to Nakuru......Eldoret......Kisumu.....Thika.....Mombasa.......Nyeri......Machakos......Kisiii......kakamega.....Voi....Kilifi......etc etc
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti because it's near Nairobi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ujinga mwingine bhana.
 
Haaa sasa wewe unadhani huo mnara ni wakawaida ? Tz raha bana asikuambie MTU tunakula ,kunywa na kusaza ,kama mm sasa hivi nakula matunda tu sins habari na watema YAI wa kibera
huwa mnaona tu wabeberu?? hizo ndio propaganda mnaeneza Tz ili kupata usingizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutojua kitu ni hasara kweli. Sasa ona venye unajiaibisha mbele ya watu[emoji23][emoji23][emoji23].
Haaa sasa wewe unadhani huo mnara ni wakawaida ? Tz raha bana asikuambie MTU tunakula ,kunywa na kusaza ,kama mm sasa hivi nakula matunda tu sins habari na watema YAI wa kibera

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…