ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,479
- 89,893
Hii photo inakera na inatia aibu Dar,yaani hapa kuna kuna wizara ya mambo ya ardhi na town planning inapangiwa na bajeti sijui kazi yake huwa ni nini hasaThat's Kibera, just 2.5 square kilometres big. Compare that with these dream houses that surround your entire city giving it no breathing space View attachment 1316103View attachment 1316105
Ni nane sio sita
Kama hizo ndo akili kubwa elewa mwenyewe by the way sishangai maana ndio urithi ccm imewarithisha ndio maana ccm hawakoseagi na wala hawashauriki ila ndo hivyo tena hali inazidi kuwa tete pamoja na juhudi za akili kubwaHata siku moja akili ndogo haiwezi kuelewa yanayofanywa na akili kubwa, " That is the principle of nature". Kumuelewesha chizi utajipa kazi(Darassa)
Sent using Jamii Forums mobile app
That is part of 20%, stupid.U heard Ichoboy bragging here that accidents in Tz has reduced by 80%, so this is the remaining 20%?[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Faida ya "big Malls" kwa nchi ambayo bado unategemea chakula cha msaada bado sijaiona.Signature mall. The recently completed mall along Mombasa road.View attachment 1321527View attachment 1321528View attachment 1321529
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahah yani umenichekesha sana juzi ulienda kisumu kwenye harus pale border namanga gari za Kenya zinazo kuja tz hazihesabiki yani kuna folen balaa lakini kwenda Kenya huchukui hata dakika 10
Tz iko na malls kweli?[emoji23][emoji23][emoji23]Faida ya "big Malls" kwa nchi ambayo bado unategemea chakula cha msaada bado sijaiona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko na chakula cha kuwalisha wakenya wenyekutudhalilisha Africa kwa kupokea chakula cha msaada.
Huna loloteThat's like a single section of Nairobi. Hizo dwarf buildings zote ukiweka pamoja hazifikii hata old CBD.
Hadi hypermarket Ni mall Nairobi wooiSignature mall. The recently completed mall along Mombasa road.View attachment 1321527View attachment 1321528View attachment 1321529
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauna wewe na nani sasa?njaa ni yako usitujumuishe tafadhaliOf course hasa kwa wale wenye unafuu wa kipato,ni bora hao wanasafiri ku explore.Swali wa tzn huwa tunasafiri kwenda wapi ukiacha wachaga waorudi kwao kwa sababau za kimila na kitamaduni? Jibu ni kwamba pesa ya kusafiri kula maisha hatuna
Tuko na chakula cha kuwalisha wakenya wenyekutudhalilisha Africa kwa kupokea chakula cha msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app