Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ungemuuliza kilaza mwenzako ni nini alikuwa haelewi,
Mwenzako kaelewa kakimbia kubadilisha mada naona assistant kilaza mwenzake umekuja,
Sio natural gas yote imeungwa kwenye gridi ya taifa hususan hii inayotumika kwenye viwanda,
mfano pale mkuranga mabomba yanayosafirisha gesi yalitobolewa na hiyo gesi kusambazwa kwenye viwanda kwa ajili ya matumizi badala ya kutumia huu umeme wa kawaida ulio zoeleka,
Soma screenshot mbili nilizompa kilaza mwenzako hapo juu.
As long as you can't prove anything you say here, it remains irrelevant.
 
Watu wakisikia good news yoyote ya Tanzania wanaumia balaa 😂😂😂 wanadiriki hadi kuja na majibu yao wenyewe wanaoyatoa makwapani na hawataki kuambiwa kuwa wapo wrong 😂😂😂
Hususan hawa wasio jua namna gani viwanda hutumia gesi asilia,
Watakuambia pia magari yanayotumia gesi asilia badala ya petroli nayo yameungwa na gridi ya taifa 😂😂😂
 
Hohoho 2013?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] I'm injecting you with pictures of 6th Jan, 2020 na wewe unatuletea picha za 2013. Are you really normal?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Fool
IMG_2952.JPG
 
Wastani wa gari ngap apo kwa mwaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
A 2006 report estimated that 60,000 vehicles used the road per day (that was before it was expanded). Currently, Thika road handles slightly over a hundred thousand vehicles per day and still remains the busiest highway in east and central Africa
 
Back
Top Bottom