Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

reli mkombozi kweli watu wamekula hela yote sikukuu sasa kimbilio treni maana nauli za mabasi na ndege hazikamatiki! aisee si kwa nyomi hili! yale ya kusema masaa 24 mengi hamna tena!

TRC wa extend Hii Northern route to Namanga wabebe gas za kupikia, mafuta na containers kutoka Tanga port kwenda Kenya

Naona magari mengi sana ya Kenya yakibeba mzigo Tanga port, wakisogezewa Hii huduma Arusha lazima wakubali show.
 
You're the biggest idiot man. Your responses are making my brain cells ache. My English is impeccable even without the site's auto-correct, which you happen to be using. You can't even comprehend simple English statements that my grade 1 child can read and understand in a second. The claim that you're a native English speaker has been disqualified by your responses. Dispute as much as you wish but the fact, which any sane person here can note, is that your grasp of the language is mediocre.
 
Thubutu wenyewe walisalimu amri kwenye thread ya Mwanza ferries vs Kenyan ferries! Waanze kwanza kuwa ferries kabla ya hizi modern speed boats!
You only have them because of the heavy traffic between Zanzibar and Dar.
 
Unasema wewe kama vile mulivoilazmisha Mombasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mombasa cannot survive without Kenya but Zanzibar can without Tanganyika. Wamepunguziwa mzigo wa container depot na wanalia sembuse fedha kutoka national government?
 
Hata mimi Nimeshangaa hiyo statement yake. That's like saying that Dar with a population almost the same as Nairobi uses a third of all electricity generated in Tanzania
Also remember that Nairobi has more industries than Dar
Kenya electricity supply 2,700. 75% connectivity.
Tanzania electricity supply 1,500. 32% connectivity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…