Mchina mtu mbaya dah! Sio kwa hii jeuri na dharau. Tuendelee kucheka wakati tukisubiri progress ya sgr yetu siku chache tu Yapi Merkezi watatoa
View attachment 1316155

mungiki kuishi kwenye slum akuwashtui kabisa maana ni mojawapo ya ongezeko la pato la taifa kwenye utalii
Msupuu acha ukorofi bhas...kama wewe unapinga Bhas njoo na takwimu zako uniambie ni km ngapi za lami zimejengwa. Au huyo alisema ni km 4k tu za lami Tz nzima yeye alitoa kwenye chanzo gani cha taarifa?
We don't post just the cbd showing some three blue towers like some people doView attachment 1316128View attachment 1316129View attachment 1316131View attachment 1316137View attachment 1316140View attachment 1316204View attachment 1316205View attachment 1316206View attachment 1316207View attachment 1316208View attachment 1316210View attachment 1316213View attachment 1316214View attachment 1316215View attachment 1316216View attachment 1316220
92% ya nairobi wanaishi kwenye slum according to ....View attachment 1316202
Sent using Jamii Forums mobile app
Of course tunaushi kwenye slums. Nyumba za wabeberu hizi 👇Utajiri upi huonusu na zaidi ya wakazi wa Nairobi wanaishi kwenye slums ndio utajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanijibu swali plz 😂😂😂 rejea swali tafadhal
Hujanijibu swali plzrejea swali tafadhal