Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwana bwana bwana mtambo unachanja mbuga😂😂🤣🤣🤣
Hewa ya ukaa 😂😂😂
 
Kuna vitu vingine vigeni kwako...!!!😁😁😁..learn "Mandarin" ancient na modern utajua nilikuwa nazungumzia nini
There's no word as allerged in the English dictionary as you allege
 
Mkuu hiyo post ya huyo jamaa umeitoa kwenye thread ipi
Hii hapa.
 
There's no word as allerged in the English dictionary as you allege
Narudia tena "learn Mandarin ancient and modern" utajua nilikuwa namaanisha nini
Sijui nani kakuambia kwamba hapo nimetumia kiingereza... usipende kuishi kwa mazoea,utayumba boya wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…