Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo ya msingi kama haya hua hawapendi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

 
Asilimia kubwa ya Wakenya wa Nairobi huenda kazini kwa Mguu, Just imagine hapa dar mtu atoke mbezi hadi posta kwa Mguu..
tuko dunia mbili tofauti.
hako kajiji kao ni trash tu.tukiwaambia wanajaa gesi.

utembee toka tabata mpaka posta kwa miguu,haipiti wiki unaacha kazi.cha ajabu wanakwambia wanabana matumizi huku wakijinadi kwamba wanalipwa vizuri sana[emoji23][emoji23][emoji23],nitafutie mfanya usafi hapo posta anayebana matumizi ya nauli kwa kutembea kwa miguu ili a save chochote kitu kwenye mshahara.

wakenya hamuishi mnaigiza nyinyi,ila hamfahamu kama mnaigiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…