Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That's just the cbd, there's no Westlandsand Upperhil ila ile picha nilileta imebeba posta, Upanga na kariakoo
Na kinachokufanya huwa utume hiyo pic ya Dar tena imepigwa mbali na bado inaonekana Dar ni kubwa tofauti na hiyo yenu ambayo haijapigwa mbali sana na bado inaonesha nairobi ni ndogo mnoo [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena uchunge sana maana kuna pic ya Nairobi ninayo hapa imepigwa kutoka wilson sijui airpot inaonesha nairobi ni kama jangwa yaani tambarare [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…