Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahahaaa duh we jamaa umewaweza jamaa zangu akina Geza, Icho na wengine. In fact hapa Dar hatuna city hata kidogo tuna kamji fulani kamejaa uchafu wa kila namna, barabara chafu, vibanda vichafu kila mahali hata kwenye sidewalks na bus stages. All inatokana na akili mbovu za wajinga wa CCM ndo maana nchi inarudi nyuma lakini wao wanashangilia kila upuuzi unaofanyika. Mfano jana nilikuwa naangalia the list of ten highest GDPs in Africa, Tanzania ina 61bln USD while Kenya is 99 bln USD.
Actually Tanzania under CCM will go no where in terms of development.
 
Naona unaongelea GDP ya kwenye makaratasi 😂😂😂 you can't eat GDP,
Una uchumi mkubwa n unategemea misaada ya chakula karne hii,
Da es salaam Hatujafikia huu uchafu wa Nairobi.
 

With Chadema will go to where? Umejaa mihemko ya kisiasa huna point.
 
Dar has never been a city.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiajua mapungufu yako unafanya bidii ila ukiakataa huwezi tia bidii kujikuamua Ina maana umekubali mazingira yako, watanzania wengi haswa wale CCM hawaitendei nchi haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…