Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Picha za 90s. Nyingi ni za Congo na Nigeria πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Tunapopost tuwe tunaangalia na trh wakuu ili twende na uhalisia wa battle
Hizi picha nyngne ni za zamani mno mwengne kaleta picha apa bango la tangazo la pen ya Bic bado bichi kabisa [emoji23][emoji23]
 
We na Google nimwamini nani ss
Wake up your slow mind and reason for once. If what you read is true, that would mean the population density in kibera is one million people per square kilometre!! Do you have a brain??
 
Kwa Arusha ni kweli kabisa hadi kesho kuna nyumba za matope mjini afu eti ndani unakuta wamepiga plaster ,nimewahi kuishi hiyo nyumba pale Ilerai but nyuma tu ya yale magorofa kando ya barabara ndo kuko hivyo bora hata vile vibanda vya mwanza milimani
 
Mara yako ya mwisho kupita hiyo barabara ni lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…