Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aerial view weka tafadhali Dar vs Nairobi., tucheke kidogo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii ndo ikawa comment yko ya chuki kanakwamba kwenu hamna shida [emoji116][emoji116]af habar ynyw imekaa kimajungu source haijajitosheleza upumbavu mtupuu
 
Af hili swali halikuwa lako mwenyewe akija atajibu
 
Nasubiri ile ripoti ya unemployment rate.
 

Attachments

  • aerial-view-of-the-haven-of-peace-city-of-dar-es-salaam-picture-id943878956.jpeg
    39.8 KB · Views: 19
  • Screenshot_2019-12-22-13-45-48.jpeg
    65.9 KB · Views: 21
Walioita slums co nyie ni wazungu nyie mlizani ni makazi salama ya kuishi binadamu kumbe ni eneo hatarishiUngejua maana ya slum ungelia ww[emoji23][emoji23]

S=Shimo
L=La
U=Uchafu
M=Mzito
Wacha kulialia...hayo makaazi yangelikua kenya kw standar zetu ni slums period..
Huku hamna cha kutiana moyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Treni ya deluxe Tanzania imetembea na disco ndani ya treni ikishindizwa na diamond platinum usifkiri kama ishawah tokea kwa nchi za Africa mashariki na kati


 
Nimetembea Tanzania maeneo ya Sirare na Tarime na nimekutana Na duka nyingi za bati so unachosema hapa sio kweli
 
Si basi mtuonyeshe hayo mabadikiko (aerials) ama mnaogopa nini? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Tukuonyeshe vp wakati we ndo uli-post picha kujibu bakora za ichoboy,icho analeta picha current, wewe unaleta ten years ago,are you crazy or what?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ