Nenda Google earth ukipata slum in dar mm nakuahidi nafunga account jamii forum[emoji23][emoji23][emoji23]
Unapenda kujifariji ujinga sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu hawana job na kenya wasemaje na mko na asilimia kubwa ya jobless ukanda huu kingine serikali yenu imesitisha kuajiri alafu unakuja kuandika ujinga hapa.
Kwenye unemployment rate hamna upinzani ukanda huu,
Unapenda kujifariji ujinga sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu hawana job na kenya wasemaje na mko na asilimia kubwa ya jobless ukanda huu kingine serikali yenu imesitisha kuajiri alafu unakuja kuandika ujinga hapa.
What professional research methods skills do u have? Do you know how to analyse data and reports?, by any chance do u understand actuarial science processes? Ama unasoma rwpirts kwa mitandao and u draw conclusions?Unapenda kujifariji ujinga sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu hawana job na kenya wasemaje na mko na asilimia kubwa ya jobless ukanda huu kingine serikali yenu imesitisha kuajiri alafu unakuja kuandika ujinga hapa.
Do u have skills in research methods? Data analysis? Actuary? Ama unasoma general reports kwa mtandao and u come up with conclusions?., can't explain a thing to u guys. Nafurahi tu.., remaining 4 days to 2020...,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kupingana na mimi lete hapa ripoti inayoonesha unemployment rate ya kenya,What professional research methods skills do u have? Do you know how to analyse data and reports?, by any chance do u understand actuarial science processes? Ama unasoma rwpirts kwa mitandao and u draw conclusions?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye unemployment rate hamna upinzani ukanda huu,
Ndio maana wakenya hutembea na mabango ya kuomba job barabarani.
We na Google nimwamini nani ssKwa vile ulivyo mjinga, you actually believe that an area measuring just 2.5 square kilometres can accommodate 2.5 million people! Common sense is not common to every bongolala. And why are you even comparing our slums with your middle income areas?
Ila kupingana na mimi lete hapa ripoti inayoonesha unemployment rate ya kenya,
Maana wewe ni mmoja wa wale wakenya wasioifahamu nchi yao.
We na Google nani mkweli....Kwa vile ulivyo mjinga, you actually believe that an area measuring just 2.5 square kilometres can accommodate 2.5 million people! Common sense is not common to every bongolala. And why are you even comparing our slums with your middle income areas?
Brathe kalale tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mitanzania leo munatia raha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], am enjoying this! An isolated case can be used as a measuring tool for Kenya's situation. Pia Singapore kuna issues na job losses and unemployment, getting job ni shida after graduating, got a Singaporean friend, but wako na alternative hustles zenye are not captured in the several databases., can't conclude wako mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka hapa tuone,Tukiweka mtasema tumepika., I need to awaken your slow mind to understand and find out, unyamaze kimya.,
Sent using Jamii Forums mobile app
We na Google nani mkweli....
Weka hapa tuone,
Amsha kwanza hiyo slow mind na low IQ yako inayobisha vitu vinavyo onekana.
Jamii forum kweli😂😂😂😂😂 acha nicheke tuSoma hii [emoji116][emoji116]report., facts.
Half of Tanzanians living in ‘multidimensional poverty’
Kenya has seen marked improvement in this 2019 ranking. In spite of the spate of natural disasters brought about by climate change. ==== An estimated 55.4 percent of Tanzanian population or around 31,778,000 people are in multidimensional poverty while an additional 24.2 percent or 13,872,000...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunabomoa kila siku na kujenga upya tulibomoa kipawa nyumba za maana zaidi ya 43000 na na tulisha lipa fidia eneo la kitunda nyumba zaidi ya 24000 tutajibomoa wakati wowoteMtaibomoa lini dar ndio muijenge upya tena...manake sekta hyo mko vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye M weka maviiWalioita slums co nyie ni wazungu nyie mlizani ni makazi salama ya kuishi binadamu kumbe ni eneo hatarishiUngejua maana ya slum ungelia ww[emoji23][emoji23]
S=Shimo
L=La
U=Uchafu
M=Mzito
Labda satellite ya Kenya mliyouziwa mbovu ndiyo inaonyesha slum in darUtaambiwa hizo ni picha za Congo na Nigeria [emoji23]
Subiri mwakani lazima hadi mabeberu watapiga magoti Kwa tzWashasema tayari. Wewe ni nabii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Take a vehicle ride from Isibania border all the way across Tanzania mdogo mdogo ujionee, utaelewa vile kunafana, go to Mwanza piga raundi, u can do it yote less than half a day., utacheka tu.., drive all the way to Dar., very congested kishenzi., washamba wengi (watu kutoka bara), wamezubaa tu hawana jobs, try n do a road trip ujionee, usiambiwe na mtu ama mitandao or inconclusive reports, the good side yao wako hospitable but suspicious of a foreigner, especially kama umetokea Kenya.,
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeebwaanaeee SLUM MPYA TENA IMEGUNDULIWA KENYA INAITWA " NUBIAN" Khaaah!!Graph inasema mpka 2016...
2017, 2018 na 2019 hakuna...
Sasa wewe niletee graph ya kwenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wacheni uchoyo tupeni hata KA SLUM KAMOJA dar na sisi tuuzie sura google earth nyie kila siku mnagundua slum mpya hizi Mbili zimegunduliwa this weekHivyo ndio sisiemu inawambia? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtateseka sana juu ya Kenya ila number mtazidi kusoma