Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naongelea CBD ya Kisumu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hilo ninalipinga kwa nguvu zote, Mkikuyu ni mkenya na alishatoa "Biography yake, alipozaliwa, aliposoma na Kazi alizofanya katika GoK, na sasa hivi anishi wapi na anafanya nini. Ilidhihirika wazi kwamba ni mkenya asilia, na anaipenda Kenya kuliko wakenya wengi hapa JF, tofauti yake ni kwamba, yeye yupo juu sana kwa akili na mtazamo kuliko ninyi mnaoburuzwa na ukabila na uvyama.

Kuhusu Makazi, huwezi kulinganisha kati ya jiji ambalo zaidi ya nusu ya wakazi wake wanaishi katika slums, na jiji ambalo karibu 85% ya wakazi wake wanaishi ktk NYUMBA bora. Hao wanaosema Nairobi ni bora kuliko Dar, wanazungumzia 30% ya wakazi wa Nairobi pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Now compare and contrast with the infamous dream houses of Dar. Then you wonder which one should be called a slum. These southerners still have a long way to go View attachment 1302300View attachment 1302301
Hebu zoom hzo utuoneshe slum hapo nataka kujua between u and google earth nani anaakili kuzidi mwenzieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Look at the roads, it's very quality. Ebu now show such kind of road in any residential area in Tanzania. Remember Kaloleni is a slum.

Sent using Jamii Forums mobile app
Road is not an issue mikoa mingi tz roads zimetandazwa vzr sana lakini hiwez kuta nyumba kama hzo trust me yani nyumba ukiangalia kwa macho inabomoka anytime how do people survive duhh too much aisee
 
Nilikua bzy now nimetoka kidogo hakuna kitu bro baiskeli ziko CBD zinabeba watu yani uchafu mtupu serious am telling u
Hiyo umedanganya. Kama unaweza ati CBD ni uchafu then unajoke, if it's ukweli ati uko Kisumu hotel then this is the place, kando ya Tuffoam mall. Show me the uchafu you are talking about.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila jaman niseme tu kenya maisha ni magumu sijapata kuona ukiskia hard life in real aisee iko kenya, yani mpaka kunaskitisha duhh alaf internet ni very expensive duhh

alaf kitu nyingine hua napenda kuuliza nimeona some of rubbish old flyover maeneo ya nakuru na njia panda ya eldoret na kericho sasa hzo old fashion flyovers za nn wakat hakuna hata congestion ya magari kabisa mm hua nafkiri gvt of kenya imeteketeza pesa nyingi za taxpayers kwenye mambo amabayo hayana ulazima kwa sasa thats y even debt sahii ni kubwa sana
 
hao ni machizi walikopa pesa wakidhani flyover ni fashion wamesahau kuwa zile huendana na mahitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa sawa danganyikan. Hizo dream houses zenu ni bora according to your standards. Mbona tubishane nawe ila wenzako walishakariri?
 
Sisi tunapokea utalii yoyote budaa mbona unawaswas sana🀣🀣🀣
Kama wao Mabepari wanavyopokea chakula hata toka kwa Wakomunisti!

 
Hebu zoom hzo utuoneshe slum hapo nataka kujua between u and google earth nani anaakili kuzidi mwenzieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Start by zooming za kisumu unionyeshe slums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…