Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar es Salaam kuna uswahilini lakini si kama hivi.Pongezi kwa serikali ya Kenya kwa kuangalia fursa zilizokuepo Nairobi.
 

Attachments

  • download (11).jpg
    11.2 KB · Views: 25
  • download (12).jpg
    7.8 KB · Views: 24
  • download (15).jpg
    11.3 KB · Views: 27
  • download (17).jpg
    8.3 KB · Views: 33
  • download (16).jpg
    10.9 KB · Views: 27
  • download (8).jpg
    9.8 KB · Views: 30
Kenya watu wana maisha ya ajabu sana yn apo ndo capital city iko ivyo dah ebhn ichoboy01 tupia picha za ki-sumu tukaue panya [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha kurudiarudia majengo hiyo kiambu county hospital ni kenyatta teaching hospital na ipo Nairobi hiyo MTRH kids hospital ni kids wing! Kudanganya maana yake mmekosa cha kuonyesha!
 
Personal space? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hivi, unajua maana ya space kweli? Hizo nyumba zimerundikana kila mahali bila mpangalio wowote space itoke wapi. Anyway we understand you. You just have low standards to the point that you can't even realize those things are not anywhere near being called a dream house. Endeleeni kujaza dream houses ndani ya jiji lenu la uswazi
 
Dar es Salaam kuna uswahilini lakini si kama hivi.Pongezi kwa serikali ya Kenya kwa kuangalia fursa zilizokuepo Nairobi.
The problem is that you are comparing Nairobi slums with your ordinary estates where 70-80% of the people live. See the difference? Outside slum areas, Nairobi is an organized city with decent houses something that can't be said of Dar where there are dream houses everywhere. Continue comparing Nairobi slums with Dar estates πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Which private hospitals have we posted here? Can you name them and screenshot that post?
 
Wakati wkoloni wakiwajengea Nairobi Dar ilikua imeachwa.watu wamekuja kitambo na kusettle.watu wameishi miaka na mika.Serekali ilivyo ingia haikufuatilia mambo ya mipango miji. kwa sababu kunawatu wengi kwenye maeneo ambayo hayajapangwa haimanishi kwamba dar haijapangwa.lakini nairobi nikitu different maeneo ambayo hayaja pangwa ni mahali kama mabanda ya ndege. na pia huko mtu awezi aka stahmili kujenga huku zipo hizo estate unazo linganazo lakini watu hawapendelei hizo estate wanataka kujenga wenyewe lakini huko kwenu lazima anunue ama apange kwenye gorofa zilizo banana kama hakuna ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…