Kuna swala hamjaligundua bado. sgr yetu hata bila ya majirani itafanya kazi vilevile. tuna biashara za kutosha kuhitaji usafiri wa train to and from kanda za maziwa na DSM.Wapumbavu wakigundua Kenya itafaidika zaidi kule Rwanda wanaweza hata kusitusha huu mradi., kama wanaweza choma vifaranga vya Mtanzania mwenzao kwa ajili alinunua Kenya, ni lipi wasiloweza kufanya?., Tanzania iko kwenye giza kuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kichwa chako ni kigumu kuelewa taja ni sehemu gani hapo darBwahahaaaa!!!hapo ni middle class dar aka uswazi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mwenye roho mbaya na ukabila utamgundua tu, siku zote anawaza utengano na unyanyapaajiWapumbavu wakigundua Kenya itafaidika zaidi kule Rwanda wanaweza hata kusitusha huu mradi., kama wanaweza choma vifaranga vya Mtanzania mwenzao kwa ajili alinunua Kenya, ni lipi wasiloweza kufanya?., Tanzania iko kwenye giza kuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
mwanzoni walisema kandege kamoja mnatupigia Kelele Sasa kimyaaaaa ππππATCL imenunua ndege mpya 11 nane tayari ziko hapa Tz
Walisema hatuna hela Hawa jamaa....Hakuna idara tutawaachia
Sent using Jamii Forums mobile app
mwanzoni walisema kandege kamoja mnatupigia Kelele Sasa kimyaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bwaaaahhhhaaaa tunavyo waambia dar kubwa mnafikili mchezo licha ya kukesha humu jf na mapicha yote tunayo tuma amjaweza kuijua dar imekaaje kaaje wakati mm nimeijua Nairobi yote Kwa kupitia picha mnazo post
Ndio naijua sana mbonaπππsijui mbona we hujipatia amnesia. Ama hutapewa malipo usipocriticize?
View attachment 1292317
View attachment 1292323
Best for uπππππππInteresting that most of these are not older than 15 years. Here's what the private sector can do with minimal restrictions.
View attachment 1292356
there's one very big difference between what you'cve posted and CBD. One photo is taken from Tom Mboya street and it separates the CBD and downtown. The other is Eastleigh in Eastlands . Before you even reach that Nation Center building you have to cross Moi Avenue which you can't show and I will show it
Niambie Kenya airways inamiliki ndege ngapi??πππππNdege ziko in their thousands in Kenya bado mnaongelea ndege mbili lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Kariakoo
duuuh[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] hapo nyuma ni vituko kuna royal mall imenibidi nicheke kimya kimya
Best of uππππππthere's one very big difference between what you'cve posted and CBD. One photo is taken from Tom Mboya street and it separates the CBD and downtown. The other is Eastleigh in Eastlands . Before you even reach that Nation Center building you have to cross Moi Avenue which you can't show and I will show it
View attachment 1293190
They look so close but you have to cross two streets before you get to that CBD. Ujinga kapelekee watoto wadogo. Dar you can't differentiate CBD and downtown even on street level leave alone aerial. Here's the boundary you can't show and you have never been to Nairobi so you don't know.Ndio naijua sana mbonaπππ
View attachment 1293183
sasa dwarf buildings zimechanganyika na residentials ndio unakuja kucompare na purely commercial buildings una wazimu wewe. Leta kitu safi kama hiiBest of uππππππView attachment 1293206