Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jifariji, hamfikii hata 0.001% ya nchi zilizoendelea kwa huo uzalishaji., ilhali zinapitia changa moto, wewe unalazimisha mambo, Lupita alisema "dreams are valid" endelea kuota.

Sent using Jamii Forums mobile app
unachoambiwa ndiyo ukweli.........mziki unakuja. ..utaendelea kutumbua macho hapa na mwisho wa siku povu lako litakuisha na utaamua kutafuta sababu upande mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unazungumza vitu usivyovijua......pole sana[emoji28][emoji28] hatuna roho na mindset ya watu kama nyie mkipata madaraka ya kuongoza nchi huwa mnavuruga taifa kwa kumezesha wananchi matope ...pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
talk of nickel and other minerals making your SGR attractive but si kitu kingine. Juu the government can subsidize even passenger travel and imports since exports za minerals are very profitable. It was a losing fight from the beginning that's why it's even tricky for China to offer loans to either Kenya or UG to service the landlocked countries. Ukiangalia hiyo map waona it's not in anyway efficient for Rwanda and Burundi to use Mombasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…