Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbna unaweweseka, mi hta nishayamaliza..sai nasubiria uingie kumi na nane za ku zoom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbna unaweweseka, mi hta nishayamaliza..sai nasubiria uingie kumi na nane za ku zoom

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi ona kilaza kama huyu, hivi ni kiswahili hujui kusoma au ni ufinyu wa akili,
Embu nioneshe ni wapi nimeandika maswala ya kuzoom ,
Sitaki mambo ya kulazimisha maneno ambayo sijayaandika,
Weka screenshot hapa,
Nilikwambia jifunze kusoma na kuelewa kabla ya kukurupuka.
 
We hta endelea na ishu zako, ipo siku uuuuu[emoji17][emoji17][emoji17]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya mnajipa moyo bure tukianza kuleta treni zetu za Umeme nchi zote zitasujudia njia ya tz note my word

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…