ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ikulu ina mambo mengi sana ndani ya ikulu kuna office za wizara, kuna conference hall, etcState house president na familia wanaishi mnataka ikue kubwa sana...waah
Ikulu ina mambo mengi sana ndani ya ikulu kuna office za wizara, kuna conference hall, etcState house president na familia wanaishi mnataka ikue kubwa sana...waah
Hahaha! Hiyo ni kama kubebea Rais kwa Nyayo Pioneer zile zilikuwa zinaundwa Kenya 1980'sTanzanian made
View attachment 514501
Office ya wizara Tena???? Iyo si ikulu Tena...Ikulu ina mambo mengi sana ndani ya ikulu kuna office za wizara, kuna conference hall, etc
Daah! Lakini sawa tu, nimeona! Lakini Rais anapaswa kupewa hadhi yake!!
Hebu nioneshe pickup anayoitumia Kenyatta imetengenezwa na wakenya🙂😀😀😀![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
aibu president kutumia pickup ya miraa
Hahahahah! Kuna jamaa aliimba akasema Uswahilini Kuna mambo, hata wizara office waweza kuipata ikulu! AjabOffice ya wizara Tena???? Iyo si ikulu Tena...
Maana yake ni kua ulinzi wa tanzania ni mkubwa mno kuliko wa ndugu yetu Kenyatta anajifichaDaah! Lakini sawa tu, nimeona! Lakini Rais anapaswa kupewa hadhi yake!!
We akili yako haiwezi kua timamu zipo wizara ambazo ziko chini ya ofisi ya raisi zinakua ikuluHahahahah! Kuna jamaa aliimba akasema Uswahilini Kuna mambo, hata wizara office waweza kuipata ikulu! Ajab
Tanzanian made
View attachment 514501
Daaah ok, Si ungesema office of the president, ama sijui kwa kiswahili, Ofisi ya RaisWe akili yako haiwezi kua timamu zipo wizara ambazo ziko chini ya ofisi ya raisi zinakua ikulu
Wewe humuoni?? Angejificha si angetumia gari lililofungwa? Mbona pale nyuma wazi?? Umewahi ona Kio mbele ya pikipiki?? Kazi yake ni nini??Maana yake ni kua ulinzi wa tanzania ni mkubwa mno kuliko wa ndugu yetu Kenyatta anajificha
View attachment 514502
Nioneshe picha ya gari anatumia Kenyatta imetengenezwa na wakenya wenyewe kama utaipata????😀😀😀😀Hiyo ni kudhalilisha Rais kumpeleka kwa mikebe kama hii!
Ona hapa huyu Njogu radio presenter
![]()
Siku zote mwenye macho haambiwi kuonaWewe humuoni?? Angejificha si angetumia gari lililofungwa? Mbona pale nyuma wazi?? Umewahi ona Kio mbele ya pikipiki?? Kazi yake ni nini??
Lazima? Kama hakuna la hadhi yake ulitaja aingizwe kwenye mikebe kama hii yenu ya kudhalilisha Raisi wenu?? AhhNioneshe picha ya gari anatumia Kenyatta imetengenezwa na wakenya wenyewe kama utaipata????😀😀😀😀
Mkuu vitu vingine havihitaji uwe na degree kuelewa,sio kila kitu unadefend ,ilo jengo halina mvuto !!
The six Africa Beasts for AVIC are rising right here!! Check the speed my friend, i presume for now several floors per week!! Coz that is too farOffice ya wizara Tena???? Iyo si ikulu Tena...
Tatizo ni hamuna 😀😀😀😀😀😀Lazima? Kama hakuna la hadhi yake ulitaja aingizwe kwenye mikebe kama hii yenu ya kudhalilisha Raisi wenu?? Ahh
Why should you try to invent something that was invented in 1770's, I saw your minister attending a man in Dodoma who was trying to invent a Helicopter, Wrights Brothers did that in 1880, Why should you try such things now??? You have money, buy they are already in the market and stop wasting your time!!Tatizo ni hamuna 😀😀😀😀😀😀