Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ asante sana.......kapumzike
COLLO hana akili.......ni zumbukuku hata kwa kutazama haelew si analeta utahila hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ikulu inakaa mosque??? Ikulu si lazma ikue kubwa ...but kupendeza ndio factor hapa..
 
big up tanzania............kiwanda cha ursus tamco tractor 3000 kwa mwaka
kiwanda cha equator sumajkt tractor 3000 na magari ya fire 100 kwa mwaka.....
viwanda vya kipekee AFRICA
Vipekee Tanzania... Kenya iyo kiwanda ya tractor ukua Nakuru
 
Ikulu inakaa mosque??? Ikulu si lazma ikue kubwa ...but kupendeza ndio factor hapa..
ha haaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] hvyo ndyo ikulu yapaswa kuwa .....na siyo yenu kama dispensary.......ikulu ya tz ni balaa ukiingia ndani full utalii.....cha kwanza...siyo hyo yenu imekaa kama banda
 
White house ni dispensary basi...but yenu ni mosque imechapa
 
where is the plant????? na hio link inaonesha kua in deal to build ina maana bado hawajatekeleza na haipo..
wakat mwengine usiwe na ubishi wa asili my friend......grow up
Fuatilia sasa iyo ndio kazi yako uko idle...kuna FMD Nakuru google pia.....tractor zinaundwa sai
 
Mwisho tafuta mahindra tractors plant Kenya nauendee choo ukakojoe upuzi
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sasa mbona unalia, kama huna huna tu na soon mutaanza kuja kununua huku na tunatengeneza na vifaa vyote vya kilimo karibuni sana kenya karibuni africa kwa ujumla
na tumeanza kupata order nyingi toka africa mashariki na kati
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sasa mbona unalia, kama huna huna tu na soon mutaanza kuja kununua huku na tunatengeneza na vifaa vyote vya kilimo karibuni sana kenya karibuni africa kwa ujumla
Unaboo bana unasheherekea staff za kipuzi sana at a Uganda,Ethiopia ina plant ya tractor...Kenya ina plants za Toyota,Nissan,BMW,Benz,Volkswagen thika etc na ni za east Africa region.
KENYA
 
Unaboo bana unasheherekea staff za kipuzi sana at a Uganda,Ethiopia ina plant ya tractor...Kenya ina plants za Toyota,Nissan,BMW,Benz,Volkswagen thika etc na ni za east Africa region.
KENYA
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ plant zikwapi hizo??????? mzee wa iphone 7 serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…