Tazama kwa makini hii project budaaπππππ
Hii ni kigamboni budaaππππππView attachment 1288151View attachment 1288152View attachment 1288153View attachment 1288154View attachment 1288155View attachment 1288156View attachment 1288157View attachment 1288158View attachment 1288159View attachment 1288160View attachment 1288161View attachment 1288162
Tumerudi westland sasaπππππ
Mm hua nakuja na ushahidi sio porojo
View attachment 1288180
Leta new picture sio porojoππππThat was tarmacked kitambo sana.....
Nilikwambia hapa ni wapi unaeza aminiππTaja hizo sehemu
Leta new picture sio porojo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata spenso tunataka kupajuaNilikwambia hapa ni wapi unaeza amini[emoji23][emoji23]View attachment 1288185
vitu unavyoongea ni cheap sana mzee ni ishu normal yaani unacompete vitu visivyo na maana ambavyo vipo kila sehemu ..........ndiyo maana nakucheka tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kwaakili yako unahisi nairobi ndiyo sehemu pekee yenye street view [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Huelewi kinachoendelea, unaweza msaidia mwenzako pia....ama km hujaelewa muulize
huyo jamaa ni kolo sana anahisi nairobi ndiyo sehemu pekee yenye street view nzuri nimecheka sana bro[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]Sifanyi kazi unayotaka ww kama unataka kujua na kufahamu picha zote nimekuekea mezani chagua alaf uliza ni wapi ujibiwe pimbi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28]usingempa neno lolote [ngemcheka tuNdio maana nikakwambia wewe ni fala sana hio ni msasani bwege wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajifanya kila kitu unakijua kumbe nduza tu na masaki yenyewe ni kubwa sawa na Mombasa yote
We manzi kibera amjalala hadi mida hiiYaani you can only use tweets as a reliable info.....why am i not surprised.
mzee ojwani hamna kipya hapo mmemaliza....mkitoka nnje ya hizo banda za njiwa same pozi....mtaishia kupost uozo tu wa maisha yenu halisi.....Ni picha gani nimerudia ama hizo ni dalili ya kushindwa?
Twendelee hapa hakuna kutoka View attachment 1288124View attachment 1288127View attachment 1288129View attachment 1288131
halafu anakuja mtu hapa anacompare banda za njiwa za nyayo na ngogi na area kama masaki wakenya ni uozo sana
achana nao kaka hakuna wanachokijua zaidi ya yale mabanda ya njiwa same looking wakitoka hapo ni mabati mwanzo mwisho......Giant[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1288140View attachment 1288141
tuna maeneo makubwa sana hauwezi kupiga rami kizembe kama ufikiriavyo hizo siyo estate za owner mmoja hapo kila mtu kajenga nyumba kwa wakati wake...acha ukunguniLami nayo huko kwenu ni nadra
ukiwaambia waonyeshe makazi ambayo kila mtu kajenga nyumba yake kwa wakati wake wataishia kuleta akili zao ndogo za estate hapo ndipo fikra za mkenya zilipoishiaNilikwambia hapa ni wapi unaeza amini[emoji23][emoji23]View attachment 1288185