Unajua ww sometimes hua hakuona kama vile unachuki za kipuuzi sana πππ yani maisha gani wakenya walionayo ili watanzania waige uko serious kweli weweUnashangaa manzi uache kushangaa kwa normal citizens wa Tzn hasa arusha na Tarime kupenda waonekane wakenya kuanzia kuiga kichwahili cha kikenya na kujitambulisha,pole broo
yaani mpo aggressive wakati majority wanaishi kwenye slum. still mna safari ndefuArusha is near Nairobi/Kenya ko mambo mengi wanaiga Kenya kuanzia life style hadi kuwa aggressive in life issues
Tumia akili... Hiyo picha inakaa panorama! Si kama ile yenu iliyonuswa na bomuUmeona UAP au hujaona kwanza πππ CBk imeanza kujengwa mwaka huu kama sio mwaka jana mwisho akili yako iko sawa
Which part of Nairobi is this ? You drive to left or right in Kenya?
View attachment 1286567
View attachment 1286568
Ahahhahahaa inakaa lakini sio ππππTumia akili... Hiyo picha inakaa panorama! Si kama ile yenu iliyonuswa na bomu
Mambo mengine kabishane na Mombasa na wanawacharaza kama watoto wadogo
Ni panoramaAhahhahahaa inakaa lakini sio ππππ
Yaonyesha huelewi mambo ya economics na history. Yes he has failed, but the country will still go on. Moi mismanaged the country for 24 years and somehow we got back on our feet in 2003. Leaders change, bad and good deals are made. Only a food will be hoping for good leadership throughout.Yani hamuna ujanja tena hapo mchina kawashika pabaya sana trust me ππππ na hili mukubali mukatae kenyatta nchi imemfia mkononi
Naona unaniletea hotel sasa ngoja nikupe kidogo vitu muhimu kutoka zanzibarπππππMambo mengine kabishane na Mombasa na wanawacharaza kama watoto wadogo
ππ
View attachment 1287641View attachment 1287637
View attachment 1287642
View attachment 1287643
View attachment 1287644
Uhehehe leta evidence hapa ukiniletea mm nafunga acc jamii forumπππNi panorama
Kwanza nashkuru kwa kukubali kua mume fail asante sana kwa hilo πππππYaonyesha huelewi mambo ya economics na history. Yes he has failed, but the country will still go on. Moi mismanaged the country for 24 years and somehow we got back on our feet in 2003. Leaders change, bad and good deals are made. Only a food will be hoping for good leadership throughout.
Badala ya ubishi wewe fanya utafiti wako. Maeneo yote sawaNaona unaniletea hotel sasa ngoja nikupe kidogo vitu muhimu kutoka zanzibarπππππ
Zanzibar hio
View attachment 1287645View attachment 1287646View attachment 1287647View attachment 1287648View attachment 1287653View attachment 1287654View attachment 1287655
Lakini haimaanishi hatusongi.Kwanza nashkuru kwa kukubali kua mume fail asante sana kwa hilo πππππ
Mwenzako kaniletea hotel za Mombasa sijui marina na zingine na mm nimempa kitu mubasharaππBadala ya ubishi wewe fanya utafiti wako. Maeneo yote sawa