Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So leo unasifia wazungu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ukistaajabu ya Musa, utakutana na ya Walker!
Wapi kasifia wazungu soma vizuri kisha tumia akili hapo kasifia moshi ni nzuri hadi wazungu wana papenda
 
Tanzanians hungojea tufanye project then pia wacopy.........they are obsessed with Kenya ile kiajabu......they hate that they love Kenya so much and want to be like Kenya......conso Kenya......conso conso
Wewe Manzi unamatatizo kichwani kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani ilikuwa na mifumo mikubwa ya reli tz kuna reli kuu 3 hii tunajenga ya NNE labda useme vilikuwa vimekufa siyo kuiga Kenya mfano ndege tumefufua tu tulikuwa nazo miaka ya nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…