hata wewe mwenyewe uko tanzania lakini pia hujalipima hilo jengo...mahali unatoa hiyo data ya urefu ndio palepale mkenya anatoa.ile siku utatuletea picha yako ukiparaga ukuta wa jengo na meter rule ukipima urefu ndio tutamaliza huu ubishiHebu niambie height yake basi..wewe c uko Tanzania
Ilo jengo ni zuri,sioni kasoro yake..
Mwenye picha za ndani atume tuone
Babylon antenna imerudi tena , naon kwa sasa mnajaribu kuficha antenna yake
Skewed minds always spew trash......Babylon antenna imerudi tena , naon kwa sasa mnajaribu kuficha antenna yake
Nilikuwa naka redio kangu kadogo sana ila kalikuwa na antenna ndefu yani Mara tatu ya redio yenyewe ndio maana nikilionaga ili jengo nacheka sana
Alafu ivi ukiwa na jengo lako la gorofa moja ukaweka antenna ndefu sana litakuwa kwenye list ya jengo refu ,nawaza tu
can you send ya Tz nione, i bet imeshinda white house, na kama utapost kibanda wacha tu ikae
hiki ni kipande tu....
hiki ni kipande tu....
Kcb should install the led lights too to match its neighboursKCB Plaza. Nairobi
View attachment 513645
Msee swimming pool ndio imekua formledger plaza bongo
hyo ndyo hadhi ya ikulu sasa kama haujui siyo ikulu yenu yafanana na store ya dawais that a mosque? what's it's name?
ona tofauti ....isiropoke ushabiki ...white house ya Tz ina hadhi kuliko hyo yenu yakishambaHahahaha! Hiyo ni Masjid ama Statehouse?? Hiyo tunafananisha na mosques in Nairobi!!
Bad still our Nairobi Mosques looks Better
South B Mosque
Al jamea tus saifiyah nairobi
View attachment 513838 View attachment 513839
Acha Ushamba, Tanzania hawajui kujenga white house! This is the conventional statehouse architecture! Not inheriting a mosque to be a statehouse!!ona tofauti ....isiropoke ushabiki ...white house ya Tz ina hadhi kuliko hyo yenu yakishamba