Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hivi hayo yatakuwa story tunajenga maandaki makubwa ya kupitisha maji ya mvua ukubwa wake hata Gari zinaweza kupita ndani kuna video ya ujenzi ukiendelea nikiipata nitakuletea hapa
 
Sio tu deni la mchina mpaka madeni ya kwenye mitandao ya simu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

 
Wakenya mnaocheka mafuliko dar jipangeni mwakani siyo mbali cheki mifumo mipya tunayo jenga kwenye barabara zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ