Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar
34119450121_1d8343f852_b.jpg
 
We have that on KIGAMBONI BRIDGE my friend. Some of the things that you are having now in Nairobi we already have

13108907_454127398114141_539926520_n.jpg


kig8.jpg



we unapenda sana kurupuka. nilipost apa picha ya Rwanda International Conference Centre kuonyesha mfano wa Led lighting system... ukaenda kuleta Tanzania International Conference Centre bila kujua ni nini inauliziwa.
Sasa nimepost apa Nelson Mandela Bridge iliyo na Led lights.... umekurupuka pia na wewe kuleta Kinyamboni Bridge.
Hii Kinyamboni bridge HAINA Led lights. sijasema mulete picha za Bridge mimi. what you see there are Fluorescent and Incandescent lights. Led lights are normally Programmed to run different colours and patterns. Now what you are showing can only light up bluish or purplish colours.
 
View attachment 512782 View attachment 512785

Je hizo Taa unazojivunia how are they improve the livelihood of this very poor community ? Je, na kwao Usiku Taa zinapendeza kam hizo unazoonyesha ? Wake up Kenyans acheni kujivuna humu wakati usiku mnarudi kulala kwenye mabati yaliyooza.
just so you know... we have what we call Slum Upgrading Programme. This is what is going on.
download-1.jpeg
we endelea kujifinya apo kwa kinyumba chako cha kiswahili
 
Poa.
Unlike you kuna wengine upenda kuzunguka mbuyu
you are trying to bend every time you are answered unaibua lingine sasa hivi ohh unajua hizo LED lights are programmed sijui ohh la kweu halina LED, sasa ni nini hizo. ili mradi tu hukubali , Hilo lights zina tofauti gani na hilo la mandela ambalo umepots we mwenyewe?
 
you are trying to bend every time you are answered unaibua lingine sasa hivi ohh unajua hizo LED lights are programmed sijui ohh la kweu halina LED, sasa ni nini hizo. ili mradi tu hukubali , Hilo lights zina tofauti gani na hilo la mandela ambalo umepots we mwenyewe?
Kamwe hujui ulimbwende wa LED lights ndugu yangu. kuna tofauti kubwa kati ya mataa ya LED na PROJECTOR LIGHTS, ambazo kwa sasa haziko kwenye miundo ya gorofa pale dar is slum
 
naona tangu jana wakenya wanajaribu kutumia nguvu kubwa kutaka ku-divert maudhui kusudiwa ya thread na kuipeleka katika kujadili suala dogo la taa/mwanga.SMH.

comrade wangu NDINDA kwanini unakubari kuingizwa kwenye mtego wa kitoto namna hiyo?.nashauri endelea kutuonyesha picha nzuri za dar.

issue ya taa ni ndogo sana kushughuliswa na mtu makini kama wewe.ipuuze please.
 
Back
Top Bottom