Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Don't give me a tweet. Give me a list of top ten biggest libraries in Africa. About modernity, why is your source (the tweet) not even mentioning anything about it being the most modern? Ama hii modernity umetoa tu kichwani?
Huna hoja kama vipi kausha tu..!!
 
Unaongea kama nani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi huyu mtu ni mzima wa akili? Kipindi kile walivyoban matatu tulishuhudia kwenye tv wakenya wanatembea kwenda kazini, yaani ilikuwa ni vituko. Kuingia cbd bila matatu ilishindikana wakaona tu watoe hiyo sheria walioiweka halafu kidudu mtu anakuja hapa kutuambia eti nairobi haiihitaji brt looooool
 
Nasubiri anijibu anaongea kama nani nimpe dawa kali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tanzania iko na economy?
aliyekuwa anatamba na economy ya tanzania au ya kenya??.uwe unatumia akili sometimes ni mbaya kudandia treni kwa mbele,hata hiyo Nigeria mnayoita biggest economy ni upumbavu tu kwa wapumbavu kama nyie ..GDP ya usd 70 bill sijui ngapi,i don't know eti nayo ni uchumi ya nchi ya watu mil 40,halafu unakuja hapa uchumi,uchumi uchumi,economy shiiiiiiit.
 
Tanzania population - close to 60 million people
GDP $62 billion


Kenya population - 49 million people
GDP $99 billion

Sasa Kati ya mkenya na mtanzania nani mjinga kulingana na utathmini huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…