Mikocheni Apartments
View attachment 1273053
View attachment 1273054
View attachment 1273055
View attachment 1273056
Kupatana Buy & Sell on Tanzania's #1 classifieds
Sell and buy used goods nearby - Kupatana is the best place to sell or buy new or used items in various categories like multimedia, cars, ready-to-wear, furniture… near youwww.zoomtanzania.com
Hawa wenzetu ni washamba sana. Watanzania wapo na freedom kujenga nyumba wao wenyewe.Nimekuja kugundua ukiacha zle nyumba za saresare kenya hamna nyumba za kuishi zaidi ya kibera
Bawahahaaaa...labda kw ukubwa misitu na vijiji labda[emoji23][emoji23][emoji23] sas mzee hyo si mombasa, we jua ndani ya Dar kuna Mombasa Sita.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni wazungu tu na waindi ndo wanakaa huko muthaiga hamna locals yeye mwenyew kasema
Mjini ni pa biashara jomba, ukitaka kuona majumba nenda vijijini..utashangaa ferry nakwambia, mkenya huthamini sana kwaoHawa wenzetu ni washamba sana. Watanzania wapo na freedom kujenga nyumba wao wenyewe.
But Kenya nyumba zote ni za mama Ngina
Sanaaa, mnateseka kenyans[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeumia sio
Unafikiria karen ni km masaki unaenda kukodi appartments km ma star wenu ili waonekane wanaishi high ends areas wakiishiwa hubaki kuhaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie posh places zenu waafrika hawakanyagi, labda kufagia barabara na kufanya kazi za ndani.
View attachment 1273051
My brother stays in Karen. Another question?Nyie posh places zenu waafrika hawakanyagi, labda kufagia barabara na kufanya kazi za ndani.
View attachment 1273051
Hiyo ndio mikocheni mjinga fulani alikuwa akisema ni bora kuliko Muthaiga, Runda na Karen[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii ndio mikocheni, maskini
Kujenga uswazi mjini ndio kula bata[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Sanaaa, mnateseka kenyans
Appartment kibao km vile bamburi tuHiyo ndio mikocheni mjinga fulani alikuwa akisema ni bora kuliko Muthaiga, Runda na Karen
Posh areas are not supposed to have apartments. Nimeshangaa sana kuona their best estate (masaki) has apartments left right and center. Waje watembee Karen Muthaiga na Runda waone kama watakutana na apartments. Even places like Nyari, Kitusuru, Spring Valley, Lower Kabete, Loresho na Kyuna hazina apartments na kama ziko ni chache sanaAppartment kibao km vile bamburi tu
Safi. So kilichobaki ni kuanza sgr. Mungiki hawataweza hizi mbio lazima waseme pooAirport ya Arusha inaongezwa run way na jengo la abiria. Tayari funds iko allocated ni kuanza tu. By mid next year tayari Arusha watakuwa na international airport. Zitapangana, KIA, Arusha na Serengeti.
halafu hawajifunzi ,,,,hawajui kuwa dar watu wanahama maeneo na kujenga pembezoni mwa mji na kadri miaka inavyozidi kwenda sehemu nyingi za dar zinafumuliwa na watu huwekeza biashara zao hiyo ni moja ya tofauti kati ya dar na nairobi......mfano baada ya maika 30 au 50 ukipita maeneo ya hizo kota zao za hostel hapo nairobi itakuwa ipo hivyo hivyo lakini kwa dar after 30 au 50 years ukipita hayo maeneo ni tofauti utakuta watu washafumua kila kitu kinakiwa kipyaNyie posh places zenu waafrika hawakanyagi, labda kufagia barabara na kufanya kazi za ndani.
View attachment 1273051
40 B TZS zishapelekwa budaWaache waendelee kukaa kwenye mistari tu
Mlishindwa kuwalipa mda wote mnatarajia watajiendeleza kivipi wakati korosho zao serekali walizichukua bure40 B TZS zishapelekwa buda
I don't care if he does. His kind is 1 in 1000 in Karen.My brother stays in Karen. Another question?
Buda kulikua na kesi nyingi za baadhi ya middle men kujifanya wakulimaMlishindwa kuwalipa mda wote mnatarajia watajiendeleza kivipi wakati korosho zao serekali walizichukua bure
Good. Then shut the *** up and continue living in your dream house in peaceI don't care if he does. His kind is 1 in 1000 in Karen.