Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,398
Kangemi ni slum,kangemi ni moja ya slums 15 za dunia..Niliwambia nyinyi wote huishi kwa slum ndio maana Kangemi mnaiona kama masaki vile
Nani amekata kua Kangemi sio slum?...lakini on top of that iko hadi na estate,gated community, mall ,apartments za five to fifteen floor.sasa wewe nionyeshe mall tu moja kutoka masaki au oustybayKangemi ni slum,kangemi ni moja ya slums 15 za dunia..
Dunia nzima hujua kangemi ni slum,hiyo ni fact ambayo huwezi pingana nayo..
Kwa nini iwe mall na si brt??Nani amekata kua Kangemi sio slum?...lakini on top of that iko hadi na estate,gated community, mall ,apartments za five to fifteen floor.sasa wewe nionyeshe mall tu moja kutoka masaki au oustybay
Kwa nini iwe mall na si brt??
Tumia ubongo
Amekimbilia mtaa wa mabandani Kibera, hana hamu na huu uzi. Nimempa za uso kama Mwakinyo atakavyo mchakaza Tinampay.Hivi karudi kweli ulivompa hili jibu [emoji23][emoji23][emoji23]
Unaona ulivyo mjinga👆👆👆!!Mall ndio kipimo cha utajiri sana sana,that means big percentage ya wakaazi wa Kangemi sio masikini kama huko masaki
Unaona ulivyo mjinga[emoji115][emoji115][emoji115]!!
😂😂😂Amekimbilia mtaa wa mabandani Kibera, hana hamu na huu uzi. Nimempa za uso kama Mwakinyo atakavyo mchakaza Tinampay.
Mall moja tu? Lol, nakuletea hizi zote utapike na ujinga ikutokePumbavu....post mall moja tu kutoka kwa hizo vitu mnaita estate sijui masaki....sijui takataka gani
Masaki Ni kuzuri sana kenya Hamna kitu ya namna iyoPumbavu....post mall moja tu kutoka kwa hizo vitu mnaita estate sijui masaki....sijui takataka gani
Masaki Ni 1st class street Acha upuuzMall ndio kipimo cha utajiri sana sana,that means big percentage ya wakaazi wa Kangemi sio masikini kama huko masaki
These dream houses are so attractive 🤣 🤣 🤣 🤣Nairobi is so so so ugly..hizo building zenu hazina taste kabisa yaani ni unattractive!
Is Masaki the best estate in Dar?Masaki Ni kuzuri sana kenya Hamna kitu ya namna iyo
[emoji23][emoji23][emoji23]bange mbayaKangemi ni slum hapa Nairobi lakini pia ina estate nzuri tu kama mountain view estate na pia ina gated community kadha...kwa wale bongo hawaijui kangemi iko hadi na mall under-construction, so kangemi hapo bongo ni kama masaki au bezi hivi.Haya tu ni baadhi ya maeneo ya kangemiView attachment 1271753View attachment 1271754
This is the exact reason why you are dumb. So, you are comparing informal settlements in Dar to that "upscale suburb" he posted? Hizo ulizonazo ni hasira tu baada ya kuambiwa kuwa bila makeup miji yenu ka kuzimu hivi.These dream houses are so attractive 🤣 🤣 🤣 🤣
View attachment 1272196View attachment 1272198View attachment 1272201View attachment 1272203View attachment 1272207
Masaki is an affluent suburb in Dar and unlike Nairobi, we don't have hierarchies here.Is Masaki the best estate in Dar?
Kwani machafuko iliathiri Shuguli za ATCL pekee yake? Mbona Mashirika mengine yalikuwa yakienda kule licha ya hayo machafuko? Na kwani machafuko bado haijaisha?? By now, mngefaa msharejelea safari za kule Kama machafuko ndio ilikuwa sababu kuu ya kukatiza safari. Hii biashara sio kama kuuza karanga za Diamond nani!!Kumbe ulishaambiwa kuwa usalama ndo ulichangia kwa serikali ya tz kukatisha route
Oohh sasa unachotaka kingine kujua hili ikusaidie nini bakia na jibu lako kuwa hali mbaya ya usalama ndo ilichangia
Kuna picha ililetwa hapa ya Nairobi west Mwenzako akasema it's so unattractive. So I was just being the good person that I am ndo maana nikamletea attractive pictures za Mitaa za Dar. Mbona Sasa unawashwa? Don't you think they are attractive? Halafu iweje leo mmekubali that you have informal settlements? I thought you only have what you like to sugarcoat as "unplanned settlements"!!This is the exact reason why you are dumb. So, you are comparing informal settlements in Dar to that "upscale suburb" he posted? Hizo ulizonazo ni hasira tu baada ya kuambiwa kuwa bila makeup miji yenu ka kuzimu hivi.
Usipanic ke-nyani..take it easyThese dream houses are so attractive 🤣 🤣 🤣 🤣
View attachment 1272196View attachment 1272198View attachment 1272201View attachment 1272203View attachment 1272207