Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cz mwakani hatutakuwa na hii Battle ya Nairobi vs DSM tutaanza kuwachokoza Wanaigeria tuwe na Lagos vs Dsm uku tutabadilisha itakuwa Nairobi vs Mwanza [emoji23][emoji23]
Usitafute ugomvi usio na kichwa wala miguu. Jua historia ya mabishano humu ndani kwanza! Mwanzoni kulikuwa hamna haya mpaka wazee wa Kibera walipoingia humu na majigambo yao!
 

noma mkuu. thanks kwa kuniwezesha kuijua hii kampuni
 
Kusitisha safari ni maamuzi ya serikali na hata siku moja huwezi mpangia mtu route

Think twice na hata hiyo ndege iliyokamatwa itarudi mjengoni
Weeeee!!unamdanganya nani hku wakati mlisingizia usalama kumbe ndio mnatoroka mkulima...

Eti watanzania na wa sauz ni marafiki, mbna muogope kupeleka ndege kule km mlishinda kesi dhidi ya yule mkulima kuhusu fidia yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…